Mchezaji Wa Chelsea Samuel Etoo Anapenda Magari Ya Kifahari, Haya Manne Ndio Yako Safarini, Anapelekewa Alipohamia.
Magari
Kama haya Hapo Chini anamiliki star huyu wa soka. Ni kitu anachopenda
sana kuwa nacho kwenye maisha yake. A Collection Of Expensive Cars.
Magari yote hapo chini yana thamani ya pauni milioni 4.
Eto'o ana Bugatti Veyron kama hio hapo juu
Hio Aston Martin One-77 Inauzwa Pauni Milioni 1.25
Eto'o anamiliki hii Maybach Xenatec Coupe inayouzwa Pauni 750,000
Eto'o pia anamiliki hii Aston Martin V12 Zagato inayouzwa Pauni 450000
No comments:
Post a Comment