Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 14, 2013

MSANII MKONGWE, MZEE SMALL BADO NI MGONJWA SANA…. MSAADA WA WATANZANIA WAHITAJIKA HARAKA…!SOMA ZAIDI KAMA UMEGUSWA HAPA




  PLEASE!!!! kwa wenye uwezo wa hali na mali tumsaidieni huyu mzee kwani anapata taabu sana...Huyu mzee alielimisha jamii ya kitanzania kupitia michezo mbalimblali ya maigizo....SERIKALI IKO WAPI????

Haya ni Maneno ya mdau mmoja wa Tasnia ya Filamu Huyu mzee amewatangazia sana watu biashara zao na kupata umaarufu mkubwa kwa mfano kampuni kama BAKHRESA na POSTA zimemtumia sana mzee huyu kuzalisha mamilioni ya shilling kwa matangazo yake mazuri ya kuamasisha watu kutumia azam product na posta kiujumla NA MENGINE MENGI SIWEZI KUTAJA YOTE HAPA....

 Sasa hivi, anaumwa kweli na pesa ya matibabu kwake ni shida sana

No comments:

Post a Comment