Ndege
iliyokuwa imewabeba watu 20 imeanguka baada ya kukumbwa na hitilafu ya
injini, muda mfupi baada ya kuruka kutoka uwanja wa ndege mjini Lagos.
Duru zinasema kuwa watu 8 wamefariki.
Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba watu 30 ilianguka na kulipuka.
Aidha
ilikua inaelekea mjini Akure Kusini Magharibi mwa nchi, kwa mujibu wa
msemaji wa shirika la udhibiti wa safari za angani nchini humo.
Injini ya ndege ilikumbwa na hitilafu na kuisababisha ndege kuanguka na kuteketea.
Hata hivyo hakuna taarifa za kuthibitisha idadi ya watu waliofariki.
*********************
Mtandao mmoja wa Nigeria umeandika hivi
An Associated Airline plane carrying 20 persons to Akure Ondo State for the burial of former Ondo State governor, Olusegun Agagu crashed in Lagos airport fuel dump area minutes after take-off Silverbird
Tv reports that Spokes Person of the National Emergency Management
Agency NEMA in the south west, Ibrahim Farinloye confirmed the incident
said 8 bodies have been recovered from the site of the crash, 1 injured
is being taken to the Lagos State University Teaching Hospital LASUTH Unconfirmed
Reports claim the plane was also conveying the only son of the late
gov, his wife and the late Gov.corpse whose burial was set for tomorrow
Friday 4th October 2013.
|
No comments:
Post a Comment