Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 7, 2013

NGOMA MPYA KABISA: DIAMOND PLATNUMZ - NIKIFA KESHO DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA

Hii ni ngoma mpya ya msanii Diamond Platnumz ambayo inaitwa Nikifa Kesho. Ndani ya ngoma hii msanii Diamond ameonekana kushika hisia za watu wengi kutokana na mengi aliyoyaimba ndani ya wimbo huo. Pata time yako ya kuweza kuusikiliza wimbo huu hapa chini.

No comments:

Post a Comment