Moja ya wasanii ambae walikuwa pamoja kwenye kundi la Wateule...Mchizi Mox
Kaburi ambalo msanii MacMalick alizikwa jana hukoYombo kwa Abiola.
Msanii huyo MacMalick alifariki juzi kutokana na miguu kujaa maji.Kwa
mujibu wa familia yake msanii huyo hajaacha mke wala mtoto.Baadhi ya
wasanii na maproduza waliofanya nae kazi kama Lamar wa Fishcrab,Mchizi
Mox,Daz Baba na Enrico wa Sound Crafters walikuwepo kwenye mazishi hayo.
#RIP Simba!Asante Anna Peter kwa picha
No comments:
Post a Comment