PICHA::HILI NDIO GARI LA KISASA ANALOMILIKI MSANII BABY MADAH
Picha za mwanamuziki na muigizaji wa Filamu nchini Baby Madaha akiwa
nchini Kenya na gari yake aina ya audi aliyopewa na Record Label ya
Candy n’ Candy huko Kenya baada ya kusaini mkataba na kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment