Ni kijana anayekuja kwa kasi sana katika tasnia hii ya bongo fleva anajulikana kwa jina la Mirror msanii ambaye anatokea kwenye ile kampuni ya Wema Sepetu inayoitwa ENDLESS FAME FILMS. Huu ni ujio wake mpya video inaitwa BABY na imesimamiwa na Dir Nisher hadi Dress Codes alivotupia mtoto huyu amesimamia Nisher, kwenye upande wa Wardrobe naambiwa kasimamia Martin Kadinda na kuhusu makeups amesimamia Wema Sepetu.
BALOZI NCHIMBI NA MONGELLA WAMTEMBELEA MZEE MANGULA
-
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, akiambatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Ndugu John
Mongella, amemtembe...
13 hours ago
No comments:
Post a Comment