Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, October 6, 2013

PICHA::MASANJA NA OMMY DIMPOZ WALIPOKUTANA LOS ANGELS MAREKANI








Masanja akiwa na Ommy walivyo kutana California hapa wakipata ukodak mbele ya uwanja wa Lakers Staples Center. Kila mtu ameenda kwa mishe mishe zake na walivyo kutana wapoz na kupata ukodak wa kumbu kumbu.

Masanja na Dimpoz wakiwa china ya ulinzi wa police wa LADP





Ommy Dimpoz mzee wa tupogo akipata ukodak na washabiki wake kulia ni Diva wa California Miss Dianarose na kushoto ni mama mzazi wa Dianarose.

No comments:

Post a Comment