Rais
Jakaya Kikwete akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za
Mwenge wa Uhuru 2013 Bw.Juma Ali Simai leo katika uwanja wa CCM Samora
mjini Iringa.Vijana
wa Halaiki wakitoa burudani kwa kuimba nyimbo mbalimbali
zinazohamasisha umoja wa taifa leo wakati wa kilele cha mbio za mwenge
wa uhuru katika viwanja vya Samora mjini Iringa.Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.
Wakimbiza Mwenge wa Uhuru 2013 wakiingia katika viwanja vya CCM Samora mkoani Iringa leo.Kiongozi
wa mbi za Mwenge wa Uhuru 2013 Bw. Juma Ali Simai akisoma risala ya
ujumbe wa wananchi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.
Jakaya Kikwete leo mjini Iringa.Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wakimbiza mwenge wa Uhuru 2013 leo mjini Iringa.
Rais
Jakaya Kikwete na mama Salma Kikwete (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo wakiongozwa na Waziri wa Wizara hiyo Dkt. Fenella
Mukangara (wa nne kutoka kushoto)
Wananchi
wa mkoa wa Iringa na vijana wa halaiki wakifuatilia matukio mbalimbali
wakati wa Kilele cha mbio za Mwenge leo mkoani Iringa.
Rais
Jakaya Kikwete (katikati) akifurahia jambo na wabunge wa Chama
Demokrasia na Maendeleo wa Iringa (CHADEMA) akiwemo Mch. Peter Msigwa
(wa pili kutoka kushoto) leo wakati wa kilele cha mbio za Mwenge wa
Uhuru mkoani Iringa.Spika
wa Bunge Mh. Anne Makinda akiangalia picha za kumbukumbu ya Baba wa
Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere leo mjini Iringa wakati wa kilele
cha mbio za Mwenge wa Uhuru 2013.Rais Jakaya Kikwete akiangalia
picha za kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere leo
mjini Iringa wakati wa kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru 2013.
Rais
Jakaya Kikwete akisikiliza maelezo kuhusu mfumo wa utajirishaji kutoka
kwa Mkururugenzi wa Kampuni ya GODTEC alipotembelea banda lao wakati wa
kilele cha mbio za Mwenge mkoani Iringa.CHANZO AUDIFACE
No comments:
Post a Comment