Pages

Tuesday, October 1, 2013

SHILOLE AANDIKIWA BARUA YENYE UJUMBE MZITO NA MWANAYE ISOME HAPA




MSANII wa sinema za Kibongo,Zuwena Mohemed‘Shilole ameandikiwa barua yenye ujumbe mzito na mtoto wake aitwaye Joyce akimuasa mama yake kuwa care na kila kitu anachokifanya. 

Shilole ameipost barua hilo kupitia matandao wa instagaram huku akiandika …Asante mwanangu sijui umefikiria nn? Dah mungu nikuzie wanangu coz ndo faraja yangu. Hiii barua nimeikuta kaniwekea harafu yy kaishaondoka shule miss u my baby girl soma kwa uwezo wako wote mi natafuta kwa ajir yenu….…
 
Mtoto wa Shilole

No comments:

Post a Comment