Tunasikitika
kuwaarifu kuwa kutokana na sababu zisizozuilika, tutashindwa kuendelea
kuwaletea habari mpya kupitia tovuti yetu (www.mwananchi.co.tz) na
mitandao ya kijamii ya Mwananchi kwa wakati wote ambapo uzalishaji wa
gazeti la Mwananchi utakuwa umesitishwa.
Tunasikitika kwa usumbufu wowote utakaosababishwa na hali hii na tunatumaini mtaendelea kuwa nasi wakati wa kipindi
hiki kigumu cha mpito. Tunatarajia kurejea rasmi hewani na habari moto moto wiki ijayo, Ijumaa, tarehe 11 October.
Tunawakaribisha muendelee kusoma habari zetu za zamani (archives)
kwenye tovuti ya Mwananchi na kurasa zetu za Facebook na Twitter ili
mzidi kuhabarika.
Pia tunawakaribisha mtembelee tovuti zetu
za www.thecitizen.co.tz na www.mwanaspoti.co.tz ambazo zitaendelea
kufanya kazi kwa ufanisi, zikiwaletea habari za uhakika na kuaminika
kipindi hiki ambapo Mwananchi imefungiwa.
Ahsanteni,
Wahariri.
No comments:
Post a Comment