Pages

Wednesday, October 16, 2013

TAZAMA PICHA ZA MAPOKEZI YA OMMY DIMPOZ KUTOKA AIRPOR HADI NYUMBANI KWAKE BAADA YA KUTUA BONGO..!!




Ommy ndegeni 
Staa wa bongofleva ambae anatajwa kushika nafasi ya pili kwa kulipwa pesa nyingi kwenye show (milioni 8 kwa Tz) huku ya kwanza ikishikwa na Diamond Platnums (milioni 10 kwa TZ), Ommy Dimpoz amerejea Tanzania leo October 15 2013 baada ya kukaa Marekani kwa karibu wiki nne.
Ni show tatu tu ndio zilimpeleka Ommy Dimpoz na kumuingiza Marekani kwa mara ya kwanza… kutana na picha zake za mapokezi baada ya kutua Dar es salaam alafu stori utaiona baadae on millardayo.com na kwenye AyoTV.
10 
Airport Dar es salaaam
7
30 
Baada ya kuwasili nyumbani kwake Dar es salaam, hapa ni nje ya nyumba yake yenye hilo geiti jeusi hapo
29 
Mtaani kwenyewe..
28 
Meneja Mubenga akisaidia kubeba mizigo
27
26
25
24
23
22
21

No comments:

Post a Comment