Friday, October 11, 2013
TAZAMA VIDEO YA SHEHENA YA VITU VINAVYOSEMEKANA NI VIKARAKOSI VYA MIFUPA YA BINADAMU VIMEKAMATWA NCHINI KENYA
Wapelelezi na maafisa wa KRA Mjini Mombasa wamekamata shehena inayosemekana kuwa na
vya kutisha katika Bandari ya Mombasa. Vikaragosi hivyo vya mafuvu na mifupa ya binadamu vinasemekana kutumiwa katika ibada za kishetani humu nchini. Pheona Kengah ana tupasha taarifa hiyo kwa kina
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment