Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 7, 2013

TBL YATOA MSAADA WA SH .MIL 35 ZA KUSAIDIA UCHIMBAJI KISIMA ZAHANATI YA KIBADA,KIGAMBONI DAR


IMG_1478_e4267.png
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wilaya ya Temeke, Patrick Swai (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 35, Mhandisi wa Kampuni ya Drima Drima Drilling, Amiri Msangi kwa ajili ya
gharama ya uchimbaji wa kisima cha maji katika Zahanati ya Kibada iliyopo Kingamboni Dar es Salaam. Anayeshudia makabidhiano hayo yaliyofanyika juzi katika zahanati hiyo ni Mganga Mfawidhi wa Zahanati hiyo Dk. Isabela Ipopo

No comments:

Post a Comment