WAJUMBE WA TUME YA KATIBA WAENDELEA NA UCHAMBUZI WA MAONI YA WANANCHI KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA YALIYOTOLEWA KATIKA MABARAZA YA KATIBA
Wajumbe
waTume ya Mabadiliko ya Katiba, kutoka (kulia) Prof. Palamagamba
Kabudi, Alhaj Said El- Maamry, Bi. Kibibi Hassan na Bi. Esther Mkwizu
wakiwa katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013)
kuchambua maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya
yaliyowasilishwa na kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba
iliyomalizika hivi karibuni.
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Maria Kashonda (kushoto)
akizungumza katika kikao hicho.Kulia ni Mjumbe waTume hiyo, Bw. Yahya
Msulwa.
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment