SWAHILI
TV TELEVISION YAKO YA KIZALENDO ILIKUWEPO KATIKA KUHAKIKISHA MATUKIO
YOTE YANAWEKWA KATIKA KUMBUKUMBU MUHIMU ZA VONGOZI WETU
Mhe.
Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba akijibu kwa ufasaha na kwa ustadi
mkubwa kabisa maswali kutoka kwa wananchi waliohudhuria Mkutano wa
Maendeleo ya Nchi yetu uliofanyika DMV Jumapili Sept 29,2013
Liz Haynes akifuatilia Mkutano kwa Makini
Mh. Mwigulu akifafanua jambo katika Mkutano wake na Watanzania DMV
Mhe.
Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba aliruhusu kila swali liulizwe na
aliyajibu yote kwa ufasaha na kwa ustadi mkubwa hakuna mwananchi
aliyerudi na dukuduku nyumbani. Pichani Kulia aliyeketi ni Msaidizi wa
Rais Bw. Rajab Luhwavi
Dada Georgina Lema akiuliza Maswali yake kwa hisia kali
Mchungaji Melchizedeki Martulu kutoka kanisa la Bethel World Outreach akiuliza Maswali
Mama Cherehani akiuliza Maswali yake bila uoga kwa ujasiri mkubwa
Mhe. Mwigulu alikuwa na kazi kubwa ya kumjibu kila mmoja
Miss Temeke akisikiliza kwa umakini mkubwa sambamba na wananchi wengine
Bw. Dotto aliyekuja na Jazba nzito alipewa uhuru wa kuuliza Maswali yake yote na kuridhika
Dotto alisikika akisema alikuwa amekuja kumtukana Mheshimiwa Nchemba, badala yake aliridhika sana na kumkubali Mhe. Mwigulu na kukiri kwamba alikuwa hamjui na sasa baada ya kumsikia anamuelewa kuwa ni mtu safi, makini na Kiongozi bora kwa Taifa letu.
Eliserena Kimolo naye alikuwa na maoni, maswali na hoja binafsi kwa Mgeni Rasmi
Ofisa Ubalozi Mindi Kasiga akiwa ndani ya Mavazi ya CCM akiwa busy na simu yake wakati Mkutano wa Mhe. Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba ukiendelea
Ofisa Ubalozi Suleiman Saleh naye alihudhuria, alimwagiwa sifa na Katibu Uenezi na Itikadi CCM kwa kuwa mstari wa mbele kuijali jamii ya kitanzania na watanzanio wote bila upendeleo.
Hidaya Mahita naye alikuwa na machache ya kuuliza
Bw. Mohamed Matope akiuliza maswali yake yaliyopata majibu kama wadau wengine
No comments:
Post a Comment