Mmoja wa wafanyabiashara wakubwa nchini na Milionea, Ali Mfuruki alipata nafasi ya kuongea katika kipindi cha Makutano na Fina Mango na kuzungumzia hofu waliyonayo Watanzania dhidi ya nchi wanachama wajumuiya ya Afrika Mashariki. Mfuruki ambaye amewekeza katika biashara mbalimbali kwenye nchi hizo alikosoa uoga wa Watanzania na kusema Tanzania inatakiwa kufungua milango kwa wawekezaji kwani fedha zinazopatikana zinaingia katika mzunguko wa uchumi na kusisitiza kuwekeza katika kuwanoa wataalam wa ndani badala ya kuogopa kupoteza ajira kwa wageni. Bofya kusikiliza zaidi http://www.youtube.com/watch?v=d6oPn1uG5eI
Waziri Aweso ataka Kazi zifanyike Usiku na Mchana Kikamilisha Mradi Wa
Mkinga
-
*Na Oscar Assenga, MKINGA*
*WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amemtaka Mkandarasi anayetekeleza mradi wa Maji
Mkinga – Horohoro kuhakikisha wanafanya kazi usiku ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment