Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, October 8, 2013

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAshinda VIKOMBE VITATU NA MEDALI TATU-SHIMI​WI DODOMA



PIX 1 ede04

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (watatu kushoto) akimpongeza mchezaji wa riadha wa Mambo ya Ndani Sports Klabu baada ya kumvisha medali mchezaji huyo katika hafla ya kufunga Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma

PIX 2 2e441

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi kikombe cha ushindi Kapteni wa timu ya Kuvuta Kamba Wanaume ya Mambo ya Ndani Sports Klabu baada ya timu hiyo kuibuka mshindi wa pili katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma


PIX 3 98a8d
Wachezaji wa timu ya Mambo ya Ndani Sports Klabu wakipita kwa maandamano mbele ya Jukwaa Kuu la Mgeni rasmi Dkt. Rehema Nchimbi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kufunga Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) 

No comments:

Post a Comment