Waziri
Mkuu, MIzengo Pinda akitazama bunduki, risasi na silaha mbalimbali
zinazolipuka vilivyokamatwa na Jeshi la polisi mkoani Kigoma kutoka
kwa watu waliokuwa wakizilmiki kinyume cha sheria, Oktoba 2, 2013. Vifaa
hivyo viko kwenye Makao Makuu ya Polisi ya mkoa huo. Mheshimiwa Pinda yuko katika ziara ya siku sita mkoani Kigoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Hoteli ya CMG Motel
wilayni Kakonko akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 2, 2013.
Kushoto ni mmiliki wa Hoteli hiyo Mwita Gachuma. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia kigoda alichozawadiwa na wakazi wa
wialya ya Kakonko kabla ya kuwahutubia katika mkutano wa hadhara akiwa
katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 2, 2013. Kushoto ni Mzee Mohamed
Ismail ambaye alimkabidhi zawadi hiyo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na wananchi wa wilaya Kakonko wilayani
humo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 2, 2013. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment