Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, November 24, 2013

ABDULRAHMAN KINANA AWASILI KYELA NA KUANZA ZIARA MKOANI MBEYA


1Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, kushoto, Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi na Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa wakipungia wananchi mikono kabla ya kushuka kwenye meli ya MV Songea wakitokea Mbamba Bay Wilayani Nyasa Mara baada ya kuwasili katika bandari ya ya Itunge Kyela Mkoani Mbeya na ameanza ziara ya kikazi mkoani humo, Kinana na ujumbe wake atatembelea wilaya za Kyela, Rungwe, Ireje, Moma. Mbozi. Chunya, Mbeya vijijini Mbarali na Mbeya mjini akikagua uttekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na kuhamasisha uhai wa chama hicho.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE- ITUNGE-KYELA2Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye meli ya MV Songea mara baada ya kwenye bandari ya Itunge Kyela leo. 3Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mh. Mery Mwanjelwa Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya mara baada ya kuwasili mjini Kyela leo, kushoto ni Munge wa jimbo la Rungwe Magharibi David Mwakyusa katikati ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mbeya na mkuu wa Wilaya ya Chunya Bw.Deodatusi Kinawiro4Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Kyela na Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe.
5Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya  Ndugu Godfrey Zambi wakati akishuka kwenye meli ya MV Songea.6Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia vikundi vya ngoma 8Akisalimiana na wananchi wakati wa mapokezi hayo.9Kikundi cha kwaya kikitumbuiza katika mapokezi hayo.11Burudani ikiendelea12Viongozi mbalimbali wa CCM na Serikali wakiwa katika mapokezi hayo.13Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa akizungumza na wanakyela leo.14Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akizungumza na wananchi katika bandari ya Itunge leo.15Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi.

No comments:

Post a Comment