Baada ya kurejea kwa mbwembwe jana na kusisitiza yeye bado ndio
mwenyekiti halali wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage leo aliitisha
mkutano wa waandishi wa habari katika makao makuu ya klabu hiyo Kariakoo
msimbazi, lakini katika hali ya kushangaza Rage ameiharisha mkutano
huo.
Msemaji
wa klabu hiyo Ezekiel Kimwaga muda mfupi uliopita kupitia ukurasa wake
wa mtandao wa kijamii wa Facebook alitoa taarifa rasmi juu ya
kuhairishwa kwa mkutano huo mpaka kesho.
at
No comments:
Post a Comment