Pages

Thursday, November 7, 2013

ANGALIA PICHA ZA MASHABIKI WA CELTIC WAPAMBANA NA POLISI KABLA YA MECHI NA AJAX.


Udhibiti: Polisi wakipambana na shabiki, anayeng'atwa na mbwa wa askari hao mguuni kabla ya mechiSAFARI ya Celtic kwenda kumenyana na Ajax kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa ilikuwa chungu baada ya mashabiki wao kushambuliwa na Polisi katikati ya Jiji la Amsterdam kabla ya mechi, ikifuatiwa na mashabiki 15 kukamatwa.
Polisi yaAmsterdam imesema kwamba mashabiki hao walikuwa wana chupa na fimbo wakipanga kushambulia kabla ya kuwahiwa na askari.
Polisi nane walijeruhiwa na mmoja kuumizwa vibaya katika mapambano yaliyotokea Dam Square, katikati ya Jiji.
Presence: A riot van rolls down the street in the centre of Amsterdam before the game
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa mjini Amsterdam kabla ya mechi
Calm before the storm: Celtic fans have a pre-match party in Amsterdam before their game with Ajax
Mashabiki wa Celtic walikuwa wana bonge la pati mjini Amsterdam kabla ya mechi na Ajax
Calm before the storm: Celtic fans have a pre-match party in Amsterdam before their game with Ajax
Celtic ilifungwa 1-0 katika mechi hiyo na sasa wanakabiliwa na kibarua kizito kufuzu hatua ya mtoano.
Polisi wa Amsterdam walisema wanatarajia idadi ya mashabiki 15 waliokamatwa itaongezeka. Maelfu ya mashabiki wa Celtic walitua Uholanzi kwa ajili ya mchezo huo wa Kundi H Uwanja wa Amsterdam Arena.
Riot gear: Police, equipped with shields and batons, try to contain some supporters in Dam Square
Polisi wakiwa tayari kwa mapambano na mashabiki Dam Square
Hold off: One fan gestures towards an incoming police officer from his knees
Shabiki huyu akisalimu amri mbele ya Polisi kwa kupiga magoti
Ushered: This Celtic supporter is moved along by a police officer in the Dutch city
Shabiki huyu wa Celtic akisongeshwa na Polisi wa kike
Sweeping through: Fans watch from a packed bar as the police pass by
Mashabiki wakiangalia kutokea ndani ya baa wakati Polisi wanapita

No comments:

Post a Comment