Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, November 27, 2013

[Audio] Habari Kuhusiana Na Kuondoka Kwa Mabeste Ndani Ya B’Hitz

mabeste

Hivi karibuni msanii anayefanya vizuri kwenye game nchini Mabeste alitangaza kujitoa katika record kubwa nchini ya B’Hitz kutokana na kutoelewana na uwongozi wa studio hiyo na kudai kuwa amekuwa akidhulumiwa na pia studio hiyo ilikua hatimizi baadhi ya mahitaji yake katika kazi zake za muziki.
Kupitia kipindi cha XXL kinachoendeshwa na Radio station ya burudani nchini maarufu kama Clouds Fm ilifanikiwa kuwakutanisha mmiliki wa stdio hiyo ya B’Hitz maarufu kama Mr. Amani na msanii Mabeste, ili ukweli wa hali alisi kuhusiana na kutouelewana kati ya Mabeste na uongozi wa B’Hitz uweze kujulikana…

Unaweza kusikia mahojiano hayo katika kipindichi hapa chini

No comments:

Post a Comment