Uzinduzi wa
wimbo mpya wa Tunda Man 'Msambinungwa' uliotengenezwa na producer Maneck
wa Am Records unatoka jumamosi hii kwenye show iliyoandaliwa na Tunda
Man pale pale Ambassadors Lounge.
WAZIRI MKUU AMPIGIA RAIS SAMIA SIMU NA KUZUNGUMZA NA WADAU WA MCHEZO WA
NGUMI KWENYE PAMBANO LA KNOCKOUT YA MAMA
-
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwa njia ya Simu na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipopiga simu
kuzungumza ...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment