BASI LA SUPER FEO LAPATA AJALI MIKUMI NA WATU WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO
Watu
wawili wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la
Super Feo kugongana na Land Rover, eneo la Mikumi, mkoani Morogoro jana.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile amethibitisha
kutokea ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment