Pages

Tuesday, November 26, 2013

DIDDY, DR. DRE NA JAY Z NI KATI YA WASANII 25 WANAOLIPWA MKWANJA MREFU DUNIANI 2012 - 2013


Diddy, Jay Z na Dr. Dre ni kati ya wasanii 25 wanaolipwa ghali hii ni kutokana na Forbes kwa mwaka 2013.
. Diddy yuko nafasi ya 12 kwenye listi hiyo akiwa na dola milioni 50, Diddy anaingiza mkwanja wake kupitia kinywaji chake cha Ciroc Vodka
Jay Z yuko nafasi ya 19 akiwa na dola milioni 42 na Dr. Dre yuko nafasi ya 21 akiwa na dola milioni 40 Forbes.com wamesema.chanzo CLOUDS FM
. Madonna ndo msanii anaelipwa kuliko waote anadola milioni 125 kwa muada wa mwaka jana. Madonna alitengeza mkwanja huo kupitia tour yake ya MDNA ambayo alitengeneza dola milioni 305.
Forbes imesema wanatengeneza list hiyo kwa kuangalia kipato toka Juni 1 20012 hadi Juni 1 2013 na inatumia vanzo kama Pollstar, RIAA, Nielsen SoundScan na walioko katika kiwanda cha muziki ili kupata data zote, wakati wakitazama pia mauzo ya tiketi, music wa kifalme, biashara nyingine na makubaliano mbalimbali pamoja na malipo ya kodi.
                       CLICK HAPA LIKE PAGE YETU KWA NEWS UPDATES ZA KILA SIKU

No comments:

Post a Comment