DKT. BILAL AMJULIA HALI DKT. SENGONDO MVUNGI ALIYELAZWA MUHIMBILI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza Dkt. Mugisha
Clement (kushoto) aliyekuwa akimpa maelezo kuhusu alivyompokea Mjumbe wa
Tume ya Katiba, Dkt. Sengondo Mvungi, aliyelazwa katika Kitengo cha
Uangalizi Maalum (ICU) MOI katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati
alipokwenda kumjulia hali, kufuatia kujeruhiwa na majambazi usiku wa
kuamkia jumapili huko nyumbani kwake maeneo ya Kibamba. Kulia ni
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia.
No comments:
Post a Comment