Pages

Saturday, November 2, 2013

Exclusive:Mzee aliyepiga saxaphone ndani ya Tupogo na Number one mtazame hapa


Anaitwa King Maru,mzee mkongwe katika tasnia ya mziki akihusika na upigaji wa saxaphone(mdomo wa bata)
keshafanya kazi nyingi na wasanii wengi ikiwemo wasanii wa bongo fleva..ila kubwa ni kuwa..saxaphone yake inasikika kwenye nyimbo ya number one ya Diamond na Tupogo ya Ommy Dimpoz and this time pia wamekutana Studio na Diamond wakati wa uandaaji wa remix ya number one aliyoshilikishwa,Davido.Huyu ndie King Maru

No comments:

Post a Comment