Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 5, 2013

HUZUNIII:: MWANTUMU WA EXTRA BONGO AFARIKI DUNIA NA KUACHA MTOTO MDOGO

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba mcheza show wa kundi la Extra bongo marufu kwa jina la Mwantumu amefariki dunia katika hosptali ya mwananyamala alikokuwa amelazwa kwa takriban siku 4 kwa matibabu kutokana na kusumbuliwa na homa kali.
Marehemu mwantumu wa kwanza kulia anaecheka akiwa na wenzie enzi hizo
Akizungumza na thesuperstarstz muda mfupi rafiki wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Sabiha Usanga ambaye pia ni mcheza show katika alisema....Ni kweli kaka rafiki yangu Mwanatumu kafariki so hatuna jinsi tunasubiri taratibu za mazishi ila nahisi wanaweza kumsafirisha kwenda kwao kagera kwa mazishi alisema sabiha kwa masikitiko yakumpoteza rafiki yake huyo.

Marehemu alishawa kufanya kazi ndani ya bendi ya African stars twanga pepeta na hadi anafikwa na umauti alikuwa akiitumikia bendi ya Extra bongo,Mwantumu ameacha mtoto mdogo sana Mungu Ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amin.

1 comment:

  1. JE UNAMATATIZO, (KWANINI USUMBUKE) NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU UTAJIRI NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO,
    NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE
    MIKOSI,
    MABALAA,
    JINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI. NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote

    ReplyDelete