Pages

Saturday, November 23, 2013

IDADI YA WALIOKUFA KUPOROMOKA KWA JENGO YAFIKIA 52



Watu waliopoteza maisha katika jengo la biashara lililoporomoka paa Alhamisi jioni jijini Riga nchini Latvia wamefikia 52. Shughuli za uokoaji bado zinaendelea na Latvia imetangaza siku tatu za maombolezo kuanzia leo Novemba 23 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment