Pages

Monday, November 11, 2013

INASIKITISHA::Mvulana wa miaka 10 asumbuliwa na Uvimbe Shingoni Madaktari wasema Viagra yaweza kutibu


article-0-1952A02200000578-825_634x424

.Madaktari bingwa Nchini Mexico wasema anaweza kutibiwa na Viagra
.Upasuaji wake waweza usiwe salama
Na Damas Makangale, Moblog  kwa Msaada wa Mtandao
Mvulana mdogo wa umri wa miaka (15) ana uvimbe mkubwa Shingoni unaomsababishia kushidwa kupumua vizuri lakini madaktari bingwa wanasema anaweza kutibiwa kwa kutumia Viagra.
Jose Serrano wa Ciudda d Juarez, Mexico alikuwa akiona ukuaji wa uvimbe shingoni ukikuwa kila siku na kutishia maisha yake na ushauri wa madaktari unasema oparesheni ya kawaida inaweza kuleta madhara katika sehemu muhimu ya kiungo chake (shingo).
article-2497851-19529C1C00000578-755_306x623
Taarifa zinasema kuwa ugonjwa huo unajulikana kama (Lymphangioma) ni uvimbe ambao dawa yake ni Viagra ambayo ni maarufu kwa kusaidia kuongeza nguvu za kiume lakini kwa upande mwingine ni dawa ya uvimbe.
Jose mwenyewe anasema kuwa ana matumaini kuwa siku moja ataweza kuishi maisha ya kawaida kama vijana wengine.
article-2497851-19529ED300000578-939_634x424
 “Kama madaktari wanaweza kunitibu mimi itakuwa ni siku ya furaha, Napenda kuwa na afya na ningependa kuwa na uwezo wa kufanya kitu chochote nikitaka,” amesema
‘ Lakini wakati mwingine anapata huzuni kwa sababu yeye ni tofauti na watoto wengine. Hadi sasa hatujapata fedha ya kumtibu,” amesema baba yake Jose Ramirez.
article-2497851-19529E8C00000578-852_634x449
Jose Serrano  akiwa na wazazi wake.CHANZO MO BLOG

No comments:

Post a Comment