skip to main |
skip to sidebar
KESI ZA JITU PATEL NA MAFISADI WENZAKE ZAENDELEA
Jitu Patel akiondoka baada ya kesi yake kuahirishwa.
Mshitakiwa namba mbili Amith Nandy nae akiondoka.
Mshitakiwa namba tatu, Vijey Kumar.
Kesi tano za ufisadi zinazomkabili
mfanyabiashara mwenye asili ya Kihindi Jitu Patel na wenzake leo
zimeendelea kufukuta kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar
es Salaam. Kesi hizo zimeahirishwa ambapo zitaendelea tena Desemba 3
mwaka huu. Jitu Patel na wenzake wanashitakiwa kwa ‘kuhomola mijihela’
kwenye mfuko wa madeni ya nje wa Benki Kuu ya Tanzania BoT (EPA) ( PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL )
No comments:
Post a Comment