Pages
(Move to ...)
Home
IT page
Advertisement
Sports news
comedy zone
Contanct and where we are
JICHO LA CAMERA YANGU
▼
Thursday, November 28, 2013
KINANA AWASILI WILAYA YA MOMBA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wana CCM waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Nandanga mahali ambapo ni mpaka wa wilaya za Ileje na Momba akiwa tayari kuendelea na ziara yake ya kikazi katika wilaya ya Momba mkoani Mbeya leo akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye na Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-MOMBA
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akisalimiana na
Eliakim Simpasa aliyekuwa mbunge wa Mbozi Magharibi mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Nandanga wilayani Momba kushoto ni Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa
Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa akisalimiana na
Eliakim Simpasa aliyekuwa mbunge wa Mbozi Magharibi
Wananchi waliojitokeza kuupokea msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa kushoto na
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki Mh Godfrey Zambi wakiwa katika kikao cha halmashauri kuu ya Wilaya Momba.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza kikao wakati alipokutana na wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya ya Momba mara baada ya kuwasili katika wilaya hiyo.
Wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya Momba wakiwa katika kikao hicho.
Wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya Momba wakiwa katika kikao hicho,
TUNAOMBA CLICK HAPA LIKE PAGE YETU KWA NEWSUPDATES ZA KILA SIKU
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment