LADY JAYDEE AMPA MAKAVU LIVE MH.JANUARY MAKAMBA. SOMA HAPA
Lady Jaydee
Lady Jaydee kweli ni Anaconda na sio mtu wa kuchezea kwani ukiingia
kichwa kichwa kwenye kumi na nane zake anakumeza na kukupaka live kama
huna hoja ya msingi. Hayo yamempata Mbunge wa Bumbuli January Makamba.
Angalia alichoandika Makamba hapo chini na jibu la Lady Jaydee ambaye ni
mwanamuziki mwenye jina kubwa Afrika mashariki.
No comments:
Post a Comment