Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula, wakati alipofika
nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam,jana jioni kwa ajili ya
kumpa pole kwa kufiwa na mtoto wake, Peter Mangula, aliyefariki juzi
asubuhi katika Hospitali ya Muhimbili. Peter anatarajia kuzikwa kesho
Ijumaa jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaini katika kitabu cha maombolezo ya mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa
CCM, Philip Mangula, marehemu Peter Mangula, wakati alipofika nyumbani
kwa Mwenyekiti huyo Oysterbay jijini Dar es Salaam, jana jioni kwa jili
ya kumpa pole.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwafariji wanafamilia wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phili Mangula,
wakati alipofika nyumbani kwa Mwenyekiti huyo Oysterbay jijini Dar es
Salaam, jana jioni kwa jili ya kumpa pole.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, akisaini katika kitabu cha maombolezo
ya mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula, marehemu Peter
Mangula, wakati alipofika nyumbani kwa Mwenyekiti huyo Oysterbay jijini
Dar es Salaam, jana jioni kwa jili ya kumpa pole.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, akimfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM,
Philip Mangula, wakati alipofika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es
Salaam,jana jioni kwa ajili ya kumpa pole kwa kufiwa na mtoto wake,
Peter Mangula, aliyefariki juzi asubuhi katika Hospitali ya Muhimbili.
Peter anatarajia kuzikwa kesho Ijumaa jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na waombolezaji nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,
Phil Mangula,aliyefiwa na mtoto wake, Peter Mangula.
No comments:
Post a Comment