Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakilakiwa na
mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik(kushoto) muda mfupi baada
ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius
Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaaam. leo jioni.Rais Kikwete amerejea
nchini akitokea Warsaw Poland ambapo alihudhuria mkutano wa Mabadiliko
ya Tabia nchi Duniani na awali wiki iliyopita alikuwa nchini Srilanka
kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola.(picha na
Freddy Maro)
AIR FRANCE- KLM YATOA FURSA WASICHANA 20 KUTOKA VITUO VYA KULEA WATOTO
YATIMA KUTEMBELEA JNIA
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike Duniani, Wasichana ishirini kutoka
Vituo vya kulea Watoto Yatima vya Shalom na ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment