Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 25, 2013

MSANII SNURA AFIWA NA KAKA YAKE WA TUMBO MOJA APATWA NA AJALI YA RADI MLANDIZI


  DJ SEKBLOG inatoa pole zake kwa msanii SNURA kwa kufiwa na kaka yake wakuzaliwa nae anaejulikana kwa jina la Yusufu kaka yake wa kwanza kuzaliwa kwa marehemu baba yake mzee Mushi. Msiba huo umetokea Mlandizi baada ya kupigwa na radi kali jana asubuhi wakati marehemu akiwa shambani kwake Mlandizi. SNURA akiongea na blog hii  amesema wanazika leo huko huko Mlandizi mida ya saa kumi jioni. mungu alaze roho ya maehemu YUSUFU MUSHI mahala pema peponi. AMIN.

No comments:

Post a Comment