Yule
kamanda anayetoa kibali kwenye spika za radio yako kwa kila
mwanafamilia wa Clouds FM anayeitwa 88.5 sasa ameanza rasmi kurusha
matangazo katika studio mpya ya
kisasa yenye kuvutia kwa kila mtu,ina sehemu ya vinjwa na mitambo ya kisasa kabisa.
Tazama hizi baadhi za picha hapa
No comments:
Post a Comment