|
Abiria hoi baada ya ajali. |
Wasamaria wema wakijaribu kutoa msaada.
Dereva wa bodaboda akishika sehemu ya mguu wake iliyovunjika.
Wakisubiri msaada.
Bodaboda yao.
Wasamaria wema wakitafakari jinsi ya kuwakimbiza kupata matibabu.
Gari iliyowagonga.
Dereva
wa bodaboda amevunjika mguu na abiria wake kupoteza fahamu baada ya
kugongwa na gari ndogo aina ya Toyota Carina yenye namba za usajili
T236ATJ . Ajali imetokea Barabara ya Morogoro eneo la Kimara Stop Over
jijini Dar wakati bodaboda hiyo ilipokuwa ikitokea Mbezi kuelekea mjini
kugongwa na gari hiyo ilitokea upande huo kukunja kona upande kushoto wa
ghafla na kuwazoa majeruhi hao
No comments:
Post a Comment