Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 26, 2013

PICHA: MAZISHI YA MAREHEMU JERRY ISAAC MRUMA AZIKWA KINONDONI DAR ES SALAAM.


Mwili wa Mtanzania Jerry Isaack Mruma 
 aliyekuwa akisoma
 Chuo Kikuu cha Kimataifa cha  Marekani (USIU) tawi la
 Nairobi nchini Kenya akichukua  Shahada ya Uzamili ya 
Utawala wa Biashara (MBA)  aliuawa wakati akitoka 
kwenye hafla ya usiku wa  Mtanzania mjini Nairobi. 
Mwili  wake ulipatikana mwishoni
 mwa wiki iliyopita. 
Amezikwa leo katika makaburi  ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
 Familia ya Isaack Mruma ikiwa  katika ibada maalum ya 
kumuombea marehemu iliyofanyika
 katika Kanisa la
 KKKT, Usaharika wa Mbezi Beach  Dar es Salaam.
Kutoka kushoto ni Mama
 mzazi wa Jerry, 
Bi Joyce Mruma, Khan Mruma
 ambaye ni kaka
 wa marehemu, baba mzazi wa  Jerry, Isaack 
Mruma na mdogo wake Kelvin Mruma
 wakiwa katika ibada hiyo. 
 Ndugu jamaa na marafiki  wakiwa katika ibada hiyo.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari  MAELEZO, Assah Mwambene a
kipita kutoa heshima za mwisho.
 Mkurugenzi wa Mamlaka ya
 mawasiliano Tanzania (TCRA) 
Prof. John Nkomwa akipita  kutoa heshima za mwisho.


Waziri Mkuu wa Zamani wa Tanzania,
 Cleo David Msuya (kulia) '
akimfariji Isaack Mruma kwa
 msiba wa mtoto wake.
 Cleopa David Msuya akimfariji  mama wa Jerry, Joyce kwa msiba wa mwanae.
 Mama mzazi wa Jerry akitoa  heshima za mwisho kwa mwili  wa marehemu mwanae.
 Isaack Mruma akitoa heshima za  mwisho kwa mwili wa mtoto wake Jerry Mruma.

 Mwili ulitolewa Kanisani na safari
 ya Makaburini Kinondoni ilianza.
Mwili wa Marehemu Jerry
 ukifikishwa makaburini.


 Kelvin akimfariji  mama yake.
 Hakika ni majonzi sana kwa  familia hii...na Mungu daima  aliwapa nguvu na kuendelea na  safari ya mwisho ya mpendwa wao.
 Wazazi wakiweka udongo
 katika kaburi
 Nimajonzi yalikuwa  kwa kila mtu...
 
 Mafundi wakifanya yao...
 familia ya ikiwa makaburini.
 Isaack Mruma na mkewe Joyce  Mruma wakiweka shada la
 maua katika kaburi la mtoto wao  Jerry Mruma
 aliyezikwa jana katika makaburi  ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 Jerry aliuwawa na watu wasio
 julikana nchini Kenya alikokuwa akisoma.
 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
 na Maendeleo ya Makazi ,
  Goodluck Ole Medeye akiweka shada.
Prof. John Nkoma wa  TSRA akiweka shada.
 Pudensiana Temba akiweka shada  la maua kwaniaba ya Staff wa TSN.
wananchi makaburini
PICHA ZAIDI INGIA HAPA FATHER KIDEVU BLOG

No comments:

Post a Comment