Mgeni
rasmi Katika Maadhimisho Hayo Mkuu wa Wilaya Morogoro Mh Said Amanzi
katikati akiwa na kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Faustini
Shilogile Kulia, Pamoja na Msaidizi wa kamanda wa polisi Mkoa wa
Morogoro ACP Laswai waliopokea maandamo yaliofanywa na jeshi la Polisi
yanayohusu maadhimisho ya siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia
yaliofanyika Mkoani Morogoro
Bango
lililobeba kauli mbiu ya ya jeshi la polisi katika maadhimisho ya siku
16 ya kupinga ukatili wa Kijinsia yaliofanyika Mkoani Morogoro
yakioandaliwa na jeshi la polisi kwa kushirikiana na Mashirika na asasi
za kiraia.
Bango lililobeba ujumbe kuhusu ukatili wa Kijinsia
Umoja wa madereva wa bodaboda Mkoa wa morogoro waliongoza maandamano ya kupinga Ukatili wa Kijinsia
Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa katika maandamano ya siku 16 ya kupinga Ukatili wa kijinsiaYaliofanyika Mkoani Morogoro.
kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Faustini Shilogile
Katika
Madhimisho hayo yalioanza jana Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro
Limepanga kufanya shuguli Mbalimbali za Kijamii kama kutembelea Baadhi
ya Shule za sekondari Mkoa wa Morogoro kwa lengo la kutoa Elimu Kuhusu
Ukatili wa Kijinsai ,Pamoja na Kutembelea Vituo vya kulelea watoto
yatima na kulea wazee wasiojiweza katika Kipindi cha siku 16 za kupinga
ukatili wa kijinsia
Kwa Picha zaidi Bofya HAPA
No comments:
Post a Comment