Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 26, 2013

PICHA ZA MAZIKO YA KAKA YAKE MSANII SNURA

Ndugu na Jamaa wakiomba Dua nyumbani kwa marehemu jana nyumbani kwake Mlandizi
Msanii Snura aliyelala (wa tatu kutoka kulia) akiwa na simamzi baada ya kumpotez kaka yake kipenzi.
Jambo likjadiliwa nyumbani kwa marehemu
Mwili wa marehemu Yusufu Mushi ukitolewa Msikitini kwa ajili ya kupelekwa mazishini
Ndugu na jamaa wakiubeba Mwili wa marehemu na kuupeleka kwenye gari kwa ajili ya mazishi
Safari ikaanza ya kupeleka mwili wa marehemu shambani kwake kwa ajili ya mazishi
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye mazishi ya marehemu Yusufu Mushi ambaye ni kaka  wa msanii Snura (Mama wa Majanga)
Suala la mazishi likiendelea
Mashehe wakiweka udongo kwenye kaburi la marehemu
Mwili ukuanza kufukiwa
Ukiendelea kufukiwa
Maalim akitoa mawaidha kwenye maziko ya marehemu Yusufu Mushi
Msemaji wa Familia akitoa neno kwenye mazishi marehemu Yusufu Mushi
Hyper (wakwanza kulia) akiwa akiwa kwenye majonzi wakati wa mzashi ya kaka yake na Msanii Snura na kushoto mapacha
Hili ndilo kabri la Marehemu Yusufu Mushi
Ndugu, jamaa na marafiki waliofika kumzika kipenzi chao Marehemu Yusufu Mushi.(Picha na Pamoja/Pamojapure Blog)


 

No comments:

Post a Comment