Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, November 6, 2013

PICHA ZA UZINDUNZI WA KITABU CHA DAWA NA MATIBABU


 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk, Hussein Mwinyi  (kulia) akizindua kitabu cha  Orodha ya Dawa muhimu na matibabu  katika hafla iliyofanyika jana jioni kwenye ukumbi wa  mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius  Nyerere jijini Dares Salaam. Kushoto ni Mfamasia Mkuu kutoka wizara hiyo, Henry   Ilunde.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk, Hussein Mwinyi  (kulia) akimkabidhi  Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, ambaye pia ni Kamshina wa Ustawi wa Jamii, Danford Makala (kushoto)  kitabu cha  Orodha ya Dawa muhimu na matibabu  katika hafla iliyofanyika jana jioni kwenye ukumbi wa  mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius  Nyerere jijini Dares Salaam.
Picha na Magreth Kinabo –Maelezo.

No comments:

Post a Comment