Pages

Wednesday, November 6, 2013

PICHA::MAZIKO YA MNENGUAJI MAARUFU WA EXTRA BONGO MWAMTUMU ATHUMANI


Wacheza shoo mbalimbali wakiwa kwenye kikao maalum kabla ya kumzika mwenzao, Mwamtumu Athumani.
Mama wa marehemu, akilia kwa uchungu.
Baadhi ya waombolezaji ambao walikusanyika msibani hapo.
Mume wa marehemu, Athumani Mgaya akiwa na mtoto aliyezaa na marehamu ambaye ana miezi minne.
Baadhi ya ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu.
Mwili ukiwa umewekwa tayari kwa kusomewa dua.
Mnenguaji, Super Nyamwela akiwa msibani.
Aliyekuwa mnenguaji maarufu wa bendi ya Extra Bongo, Mwamtumu Athumani alyefariki hapo jana kwa ungonjwa wa TB na mapafu kujaa maji amezikwa leo katika makaburi ya Mburahati jijini Dar es Salaam.

( HABARI NA GLADNESS MALLYA NA CHANDE ABDALLAH / GPL )

No comments:

Post a Comment