Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akiimba Wimbo wa Taifa na baadhi ya viongozi wengine
kabla ya ufunguzi wa mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali
za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius .K. Nyerere jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akitoa hotuba ya kufungua mkutano wa majadiliano wa
ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius .K. Nyerere jijini Dares
Salaam.
Balozi wa
China nchini, Lu Youqing akitoa hotuba ya kufungua mkutano wa
majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania na China
katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius .K. Nyerere
jijini Dares Salaam.
Baadhi ya
wajumbe wakiwa katika mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa
Serikali za Mitaa za Tanzania na China katika ukumbi wa mikutano wa
Kimataifa Mwalimu Julius .K. Nyerere jijini Dares Salaam uliofanyika
jana.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali(TAMISEMI), Hawa Ghasia wakati
mkutano wa majadiliano wa ushirikiano wa Serikali za Mitaa za Tanzania
na China katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius .K.
Nyerere jijini Dares Salaam.
(Picha na Magreth Kinabo – Maelezo)
No comments:
Post a Comment