Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete
wakilakiwa kwa ngoma za kitamaduni mara baada ya kuwasili
jijini Colombo, Sri Lanka, leo Novemba 14, 2013
tayari kwa mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola (CHOGM)
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete
wakiongea na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
mara baada ya kuwasili jijini Colombo, Sri Lanka, leo
Novemba 14, 2013 tayari kwa mkutano wa wakuu
wa nchi za jumuiya ya madola (CHOGM).PICHA NA IKULU
|
No comments:
Post a Comment