Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 5, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS KENYATTA JIJINI JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment