Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo amewasili nchini akitokea nchini Afrika ya Kusini alikokwenda kuhudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) na kuwaapisha
Makamishna wawili wa Tume ya utumishi wa Mahakama katika hafla fupi
iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana. Walioapishwa katika hafla hiyo ni Dkt.Angelo Mtitu Mapunda (pichani juu) na Mhe.Georgina Mulebya, (Pichani chini).
Rais Jakaya Kikwete,akimuapisha, Mhe.Georgina Mulebya. Picha na Freddy Maro.
No comments:
Post a Comment