MUDA
|
TUKIO
|
LEO, NOVEMBA 15, 2013 – UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU JK
NYERERE |
|
Saa 12:50 jioni
|
Kuwasili kwa
mwili wa Marehemu – Uwanja wa Ndege wa Mwalimu JKN |
KESHO, NOVEMBA 16, 2013 – VIWANJA VYA KARIMJEE
|
|
Saa 2:00 – 3:30
asubuhi |
Kuwasili kwa
Wageni, Wananchi na Waombolezaji |
Saa 3:30 asubuhi
|
Kuwasili Mwili
wa Marehemu |
Saa 4:00 – 5:45 asubuhi
|
Ibada ya Misa
Takatifu, Viwanja vya Karimjee |
Saa 5:45 – 6:55
mchana |
Salaam za
Rambirambi na Neno la Shukurani |
Saa 6:55 – 8:40
Mchana |
Kuaga Mwili wa
Marehemu |
Saa 9:00 Alasiri
|
Msafara kupeleka
mwili wa marehemu Kibamba Msakuzi |
KESHO KUTWA, NOVEMBA 17, 2013 – NYUMBANI KWA MAREHEMU
- KIBAMBA, MSAKUZI |
|
Saa 2:30 – 4:30
asubuhi |
Ibada ya Misa
nyumbani kwa marehemu |
Saa 5:00 asubuhi
|
Kuanza safari ya
kwenda Chanjale, Kisangara Juu, Mwanga, Kilimanjaro |
WATANZANIA WATAKIWA KUJENGA TABIA YA KUWASAIDIA WENYE UHITAJI MAALUM
-
Watanzania nchini wametakiwa kujenga tabia ya kuwasaidia watu wenye
uhitaji maalum ikiwemo Watoto yatima Wazee Pamoja na watu wenye ulemavu ili
waweze ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment