Pages

Sunday, November 3, 2013

TAARIFA TOKA TFF:::KATIBU MKUU ANGETILE OSIAH ASIMAMISHWA KAZI




Kikao cha kwanza cha Kamati mpya ya Utendaji ya TFF kimempa likizo Katibu Mkuu wa kuajiriwa, Angetile Osiah mpaka mkataba wake utakapomalizika Desemba na watamlipa stahili zake. Kikao hicho chini ya Rais Jamal Malinzi, kimeamua kwamba Ofisa Habari Boniface Wambura atakaimu nafasi ya Angetile kuanzia leo

No comments:

Post a Comment